Achraf Hakimi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2010
- 943
- 1,944
Hahaha unatafuta maneno na waja weweManula angedaka vizuri kuliko yule mshamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha unatafuta maneno na waja weweManula angedaka vizuri kuliko yule mshamba
Uyo ndo anaecheza team kubwa na ndo star waoUmeona lakini alivyopiga ?[emoji23]
Kwa mara ya kwanza leo nimeshinda... Spain ❤️Dah toka world cup imeanza sija shinda hata mara moja😁
Wana nguvu sana ila wamaliziaji wao ni vichomiHawa Canada mbona hawana akili golini? Washenzi kabisa.
Wamezingua sanaHawa Beligium bado nawatafakari wamekosaje nafasi kama ile?
Hapo ndipo walipokoseaUyo ndo anaecheza team kubwa na ndo star wao
Tuachane na hili,Huyu refa kapewaje kuchezesha hii mechi? [emoji35]View attachment 2425446
Hata mtu akijituma hakuna program au mikakati ya wapi timu ifike ni simba na yanga tuHapa kwetu kuna raia wanakipiga mitaani kuliko hata hao tulionao kwenye vilabu vyetu vikubwa, lakini hawapati nafasi.
Ukiritimba unatumaliza Watz.
Bila yule kichomi , Senegal tungekuwa mbali.Hahaha unatafuta maneno na waja wewe
Hachelewi kumaliza dkk ya 75Huyu refa kapewaje kuchezesha hii mechi? [emoji35]View attachment 2425446