raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Yupo Bayern Munich ni beki bora sana wa kushotoKuna michezaji sijui inacheza timu gani
Kama huyu alokosa penarty hamna kabisa
Hawa walimiss mashindano haya kwa miaka zaidi ya 30, so bado Wana kimuhemuhe tunawakalisha hawa mbona!!!Ila wanapelekewa moto
[emoji23][emoji23]Kwa kifupi sasa hv mpira unachezwa kila kona kasoro hapa kwetu tu
Tema mate[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata ningekuwa mimi nisingekosa
Yaache tu haya, usinikumbusheLile la Senegal pamoja ya uzoefu ila mbona aliwachomesha wenzie
Manula angedaka vizuri kuliko yule mshambaYaache tu haya, usinikumbushe
Umeona lakini alivyopiga ?[emoji23]Tema mate
Hapa kwetu watu wanashangalia tobo na kanzuKwa kifupi sasa hv mpira unachezwa kila kona kasoro hapa kwetu tu
Argentina wameweka record aiseeNgoja tutaona, isije ikatokea ya Argentina hapa
Hahaaaa hatari sanaNilikuwa naangalia huku nimejilaza kwa zulia 😺
Walipokata ka umeme kao, na mimi nikaliunga hapo hapo 🤣
Uzoefu wa Chelsea na Madrid usilinganishe mkuuLile la Senegal pamoja ya uzoefu ila mbona aliwachomesha wenzie
Hapa kwetu kuna raia wanakipiga mitaani kuliko hata hao tulionao kwenye vilabu vyetu vikubwa, lakini hawapati nafasi.Kwa kifupi sasa hv mpira unachezwa kila kona kasoro hapa kwetu tu
Wanakuambia byuti byuti 😆Hapa kwetu watu wanashangalia tobo na kanzu