Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Pale akili iliyotumika ni ya Didier Deschamps - Mzungu, na Uwanjani pia Whites walikuwepo

Hakuna Kocha mweusi kawahi kuifikisha timu hata quarter au half final ya WC....mwenye mafanikio zaidi ni Cisse tu na AFCON ya mwaka jana aliwazidi Waarabu akili
emoji23.png


Ni kweli Blacks tumejaliwa Physical strength na speed ila Cognitively POOR tangu enzi
Pia tunaleta siasa kwenye kazi. Oh wachezaji wanalaswa kuwa wazalendo huku haki zao hatuwapi alafu unategemea mtu kujituma.

Pili tukubali coach education yetu ipo chini mno na tuna mambk ya kubebana sana tuu.
Timu ya asia inaweza fika nusu fainali kabla ya timu ya africa maana wenzetu anagalau wana weledi
 
Uliniona wapi nikinywa bia we mtoto? Sijawahi bia mimi...ila hapo unatuingiza chaka wakamaria[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimewapa Mkeka kamili.
Hauchaniki.
 
Back
Top Bottom