Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Pia tunaleta siasa kwenye kazi. Oh wachezaji wanalaswa kuwa wazalendo huku haki zao hatuwapi alafu unategemea mtu kujituma.

Pili tukubali coach education yetu ipo chini mno na tuna mambk ya kubebana sana tuu.
Timu ya asia inaweza fika nusu fainali kabla ya timu ya africa maana wenzetu anagalau wana weledi
 
Uliniona wapi nikinywa bia we mtoto? Sijawahi bia mimi...ila hapo unatuingiza chaka wakamaria[emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimewapa Mkeka kamili.
Hauchaniki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…