UKWELI NA UWAKIKATBC leo wanaonyesha game mbili[emoji16]
Timu za Africa zinazocheza leo, Ghana dhidi ya Portugal na Cameroon dhidi ya Switzerland zitashinda kwa magoli mawili na zaidi.
Portugal vs Ghana = 1 - 2
Switzerland vs Cameroon = 1 - 3
Eti yoyote unazika[emoji23]Team nitakazo zisapoti leo;
1.Cameroon
2.South Korea
3.Ghana
Brazil vs Serbia nipo neutral,yeyote nazika.
Niite mbwaTimu za Africa zinazocheza leo, Ghana dhidi ya Portugal na Cameroon dhidi ya Switzerland zitashinda kwa magoli mawili na zaidi.
Portugal vs Ghana = 1 - 2
Switzerland vs Cameroon = 1 - 3
Etoo kawawajaza ujingaCameroon anashinda leo[emoji1434]
Tunapenda iwe ivi lkn mkuu sio rahis.. Tena hapo kwa Cameroon sijui tu wanaweza wakapimwa sana umr kwa kasi kubwa na Switzerland.Timu za Africa zinazocheza leo, Ghana dhidi ya Portugal na Cameroon dhidi ya Switzerland zitashinda kwa magoli mawili na zaidi.
Portugal vs Ghana = 1 - 2
Switzerland vs Cameroon = 1 - 3
Baada ya mechi tukutane hapa hapa.Niite mbwa
Mpira unadunda. Kama Saudi Arabia alimkalisha Argentina, Japan akamnyoa Germany na jana chupuchupu Belgium afe kwa Canada, inashindikana vipi kwa Cameroon na Ghana kushinda mechi zao leo?Tunapenda iwe ivi lkn mkuu sio rahis.. Tena hapo kwa Cameroon sijui tu wanaweza wakapimwa sana umr kwa kasi kubwa na Switzerland.
Cameruunnnn hatoboiiiiiWale wa kubet mpe
Cameroon
Serbia
Uruguay
Na ureno
Tuweke pesa tu mzeeBaada ya mechi tukutane hapa hapa.
Kama una laki, iweke pembeni. Tukutane baadaye.Tuweke pesa tu mzee
🤣🤣🤣🤣Kama una laki, iweke pembeni. Tukutane baadaye.