Wanaingiza mipira htr sana kwny box had ss wamekosa nafas 1 mpr haujafika kwa mtt sahihiNina imani Cameroon watapata ( ma) goli katika hii mechi.Wameanza kujielewa Sasa.
Jana nilikuwa natangaza namna Canada wanavyokosa mabao. Mpaka nikachoka..
🤣🤣🤣🤣Timu za africa mpka sasa wamejitahidi kuucheza mpira japo hawafungi
Wakiacha kudanganya umri huko mbeleni tunabeba hili kombe wazungu naona hawalitaki tena swiss hana tofauti na camerun huu mpira wa leo
Kwani wazungu ndo hawadanganyi umri?Timu za africa mpka sasa wamejitahidi kuucheza mpira japo hawafungi
Wakiacha kudanganya umri huko mbeleni tunabeba hili kombe wazungu naona hawalitaki tena swiss hana tofauti na camerun huu mpira wa leo
Kwamba hilo kombe litabebwa na kuwekwa mikononi kwetu au?Timu za africa mpka sasa wamejitahidi kuucheza mpira japo hawafungi
Wakiacha kudanganya umri huko mbeleni tunabeba hili kombe wazungu naona hawalitaki tena swiss hana tofauti na camerun huu mpira wa leo
Chai ya Mchana sio chaiDah kuangalia mpira na wanawake nayo yataka moyo sana wa kufafanua hadi vitu vya ajabu. Mtu kaangalia hii mechi kwa muda sijui jezi zimemchanganya eti anauliza hawa Simba si walisajiri mzungu mmoja tu hawa wengine wametokea wapi?
Nina gundu na hawa ndeez tanesco, yaani ni wanakata umeme tu, wanaona sifa sana!!Asante tayari naangalia hapa mchawi Tanesco
Serbia atakung'utwa kama mbwa koko, Brazil sio Argentina mjue[emoji3][emoji3]Thiago Silva na Marquinhos leo kazi wanayo. Serbia si wa mchezo mchezo. Ureno wanawajua vizuri. Sasa leo vitukuu wa wakoloni wareno wataonja kilichompata mkoloni wao.Mitrovic leo ataua.
Pole sana .....Nina gundu na hawa ndeez tanesco, yaani ni wanakata umeme tu, wanaona sifa sana!!