Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Timu za africa mpka sasa wamejitahidi kuucheza mpira japo hawafungi
Wakiacha kudanganya umri huko mbeleni tunabeba hili kombe wazungu naona hawalitaki tena swiss hana tofauti na camerun huu mpira wa leo
🤣🤣🤣🤣
 
Kwani wazungu ndo hawadanganyi umri?
Unaambiwa Haaland Ana miaka 21 tu afu wewr unaamini Kweli?
 
Timu za africa mpka sasa wamejitahidi kuucheza mpira japo hawafungi
Wakiacha kudanganya umri huko mbeleni tunabeba hili kombe wazungu naona hawalitaki tena swiss hana tofauti na camerun huu mpira wa leo
Kwamba hilo kombe litabebwa na kuwekwa mikononi kwetu au?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kim
FB_IMG_16692867464744751.jpg
 
Thiago Silva na Marquinhos leo kazi wanayo. Serbia si wa mchezo mchezo. Ureno wanawajua vizuri. Sasa leo vitukuu wa wakoloni wareno wataonja kilichompata mkoloni wao.Mitrovic leo ataua.
Serbia atakung'utwa kama mbwa koko, Brazil sio Argentina mjue[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom