Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Timu za Africa zina shida kwenye scoring, wanaweza kulinda lakini scoring opportunities kwa timu za Africa ni chache sana.
 
Timu za Africa zina shida kwenye scoring, wanaweza kulinda lakini scoring opportunities kwa timu za Africa ni chache sana.
Kama Cameroon leo alikuwa anaenda 1, 2 - 0 half times, tena wana consistency nzuri sana kwa kunasa mipira vizuri lakini umaliziaji mweeeh....[emoji849]
 
Kama Cameroon leo alikuwa anaenda 1, 2 - 0 half times, tena wana consistency nzuri sana kwa kunasa mipira vizuri lakini umaliziaji mweeeh....[emoji849]
World cups karibia zote nilizoangalia, timu za Africa kwenye kufunga ni issue sana. Watacheza vizuri sana lakini lazima wawekwe kimoja, viwili au wapate sare.
 
Hili kombe la dunia la sasa litachana sana mikeka nawaambia.

Ukienda kubet na mipira yako ya kukariri utapasuka msamba mapema kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…