Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha atakuwa Kim Jong-Un
Kama Cameroon leo alikuwa anaenda 1, 2 - 0 half times, tena wana consistency nzuri sana kwa kunasa mipira vizuri lakini umaliziaji mweeeh....[emoji849]Timu za Africa zina shida kwenye scoring, wanaweza kulinda lakini scoring opportunities kwa timu za Africa ni chache sana.
Mzungu adanganye ili apate nini bruh 😃Kwani wazungu ndo hawadanganyi umri?
Unaambiwa Haaland Ana miaka 21 tu afu wewr unaamini Kweli?
Yap kwa sasa ni kama wanataka watuwekee mikononi tu 😃Kwamba hilo kombe litabebwa na kuwekwa mikononi kwetu au?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
TupooooWANANGU WA BRAZIL [emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054] TUJUANE MAPEMA [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2426060
Unatakiwa ujue mambo mengi tumejifunza kutoka kwa hao wazungu mkuu, hata huu mpira tuliukopi tu kwao.Na suala la kudanganya umri nalo tulijifunza kutoka kwao.Mzungu adanganye ili apate nini bruh 😃
Haaland kila kitu anakipata akiwa mdogo yeye ni kudeliver tu
Hahahahaha mengine tumejiongeza sisiUnatakiwa ujue mambo mengi tumejifunza kutoka kwa hao wazungu mkuu, hata huu mpira tuliukopi tu kwao.Na suala la kudanganya umri nalo tulijifunza kutoka kwao.
World cups karibia zote nilizoangalia, timu za Africa kwenye kufunga ni issue sana. Watacheza vizuri sana lakini lazima wawekwe kimoja, viwili au wapate sare.Kama Cameroon leo alikuwa anaenda 1, 2 - 0 half times, tena wana consistency nzuri sana kwa kunasa mipira vizuri lakini umaliziaji mweeeh....[emoji849]
Tuko hapaaa mzee putinWANANGU WA BRAZIL [emoji1054][emoji1054][emoji1054][emoji1054] TUJUANE MAPEMA [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2426060
Yaa sa 7 na ya saaa 1 ya Ghana na urenoYa saa ngap na ngap?
Uwa iko ivo tu ukicheza vzr pata goal.. Vinginevyo utafungwa wwNaona [emoji1062] wako more dangerous wakienda mbele kwl wanaweza pata goal lkn walipate mapema maana game ikibadilika watajuta watafungwa wao.