Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Mapasi marefu marefu.Kivipi mkuu?
Mi naona tu FIFA wapunguze ziende timu 2 za Afrika wanajaza server tuDah sasa Afrika twende na nani mbona kama wote wazinguaji?
Wanefungwa mabehewa mkuuMlioko mbele ya Luninga, mnawaonaje vijana wa Rigobert Son?
Ukikaa na wakuu nawe unakua mkuuNajifunza utofauti wa mtu mweusi anayechezea timu za wazungu na mweusi wa huku kwetu [emoji848]
Ah kabisa!Ukikaa na wakuu nawe unakua mkuu
Ghana mkuu🤣🤣Dah sasa Afrika twende na nani mbona kama wote wazinguaji?
🤣🤣🤣🤣Mzungu one chance one goal
Nyani 5 chances zero goal
Pathetic!
Ila Ghana anaweza kufanya maajabuGhana mkuu[emoji1787][emoji1787]
NamuonaOnana naona anasogea mpaka kati 😁
Na mimi nlikua nataka niulize ngap ngapiKunaendeleaje
Anaitwa Aliou CisseRigobert Song na Papee Sise makocha wa Senegal na Cameron hawana ubora wowote. Wanabebwa na ubora wa wachezaji wao ambao wengi wanacheza ulaya.
Hawana lolote na tusitarajie lolote