Kabisa walivyomtoa algeria kimazabe mazabe acha tuuu....Uchawi upp..hii cameroon kufika hapa..uchawi umehusika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa walivyomtoa algeria kimazabe mazabe acha tuuu....Uchawi upp..hii cameroon kufika hapa..uchawi umehusika
Tatizo sie hatuwathamini wachezaji wakija kwenye timu za taifaKinachoshangaza zaidi mchezaji huyu huyu wa Afrika akiwa ulaya ni tishio
Akirudi africa anakuwa kama michel saporng yule aliyekuwa yanga
Wanajituma?Tatizo sie hatuwathamini wachezaji wakija kwenye timu za taifa
Sure mzee hii nafasi ya Senegal au cameroon ilikua ya egypt kabisaBora wale Mafarao yangepata nafasi.
Hawa hakuna kitu.. Bahati mbaya sana walikutana na Kigingi cha Ghana
How ? Kwani wanajigaramia wenyeweTatizo sie hatuwathamini wachezaji wakija kwenye timu za taifa
Team za Africa kufunga sijui imekuaje Yan ni changamoto ya team zote kufunga.Cameroon mnamuonaje anaweza kuwa mkombozi wa Africa kama Japan au Saudi kwa Asia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ngozi hiiNajifunza utofauti wa mtu mweusi anayechezea timu za wazungu na mweusi wa huku kwetu [emoji848]
Bado tu kufungwa na Wachina na WahindiMi naona tu FIFA wapunguze ziende timu 2 za Afrika wanajaza server tu
Hata tanesco au sioTujivunie vya nyumban
Walikua na good 1st half lkn ss hakuwapata cha kuonesha maana unatakiwa ufunge ili uweze kujustify performance yako.Mlioko mbele ya Luninga, mnawaonaje vijana wa Rigobert Son?
Cisse at least, huyu Song ndio hovyooRigobert Song na Papee Sise makocha wa Senegal na Cameron hawana ubora wowote. Wanabebwa na ubora wa wachezaji wao ambao wengi wanacheza ulaya.
Hawana lolote na tusitarajie lolote
Cameroom kipindi cha kwanza walikuwa na nafsi kubwa sana mbili lakini uchoyo wa kutaka kila mtu kufunga ndiyo umewaponza. Wangetoa pasi ilikuwa ni magoli ya wazi.Team za Africa kufunga sijui imekuaje Yan ni changamoto ya team zote kufunga.
Ngj niwaone Ghana kuna saut inaniambia lbd wanaweza kua ndo watu wa muhm kwa matumaini ya team za Africa lkn kuna saut nyngne inaniambia usiziamin team za Africa hazielewek. Mda utaongea sa1 sio mbl sana.
Huyu kapewa team kwa sbb ni mshakaj wa kutupwa wa Rais wao Eto'oCisse at least, huyu Song ndio hovyoo
Hakika na usipofunga ww utafungwa iko simple ivo tu.Cameroom kipindi cha kwanza walikuwa na nafsi kubwa sana mbili lakini uchoyo wa kutaka kila mtu kufunga ndiyo umewaponza. Wangetoa pasi ilikuwa ni magoli ya wazi.
Sure mzee hii nafasi ya Senegal au cameroon ilikua ya egypt kabisa
Uchoyo ndo umewagharimu ss.Cameroom kipindi cha kwanza walikuwa na nafsi kubwa sana mbili lakini uchoyo wa kutaka kila mtu kufunga ndiyo umewaponza. Wangetoa pasi ilikuwa ni magoli ya wazi.
Wale wa kubet mpe
Cameroon
Serbia
Uruguay
Na ureno