Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kinachoshangaza zaidi mchezaji huyu huyu wa Afrika akiwa ulaya ni tishio

Akirudi africa anakuwa kama michel saporng yule aliyekuwa yanga
Tatizo sie hatuwathamini wachezaji wakija kwenye timu za taifa
 
Reactions: Lee
Cameroon mnamuonaje anaweza kuwa mkombozi wa Africa kama Japan au Saudi kwa Asia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Team za Africa kufunga sijui imekuaje Yan ni changamoto ya team zote kufunga.

Ngj niwaone Ghana kuna saut inaniambia lbd wanaweza kua ndo watu wa muhm kwa matumaini ya team za Africa lkn kuna saut nyngne inaniambia usiziamin team za Africa hazielewek. Mda utaongea sa1 sio mbl sana.
 
Mlioko mbele ya Luninga, mnawaonaje vijana wa Rigobert Son?
Walikua na good 1st half lkn ss hakuwapata cha kuonesha maana unatakiwa ufunge ili uweze kujustify performance yako.

Sikuoni umuhm sana wa kocha kumtoa Choupo Motin kwa sbb alikua ana hold sana mpr juu na wenzake wanasogea juu wanashambulia tofaut na Aboubakar yy ana touch na kukimbia, niliona ingekua bora zaid angecheza na 4 4 2 wote wakacheza mbele maana walikua wanahitaj hata matokeo ya sare.. Anyway ndo imeisha ivo Cameroon wajiandae na safar maana wafutwao ni Serbia na Brazil hawez pata ki2 hapo.
 
Cameroom kipindi cha kwanza walikuwa na nafsi kubwa sana mbili lakini uchoyo wa kutaka kila mtu kufunga ndiyo umewaponza. Wangetoa pasi ilikuwa ni magoli ya wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…