Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ronaldo inaonesha ana usongo

Ngoja tuone uwanjani kasheshe ipo au ndo yale yale ya Messi
 
Mbona kama unawashwa
Msijifaliji hii Ghana Ata somalia haiwafungui ngoja tuwape ukweli tu japo mechi ya mwisho kati ya ureno na Ghana mwaka 2014 kweny kombe la Dunia Ghana alikufa mbili moja Ghana ndio timu mbovu kushiriki kombe la Dunia kutoka Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…