Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Itv enzi hzo japan Korea 2002 na Paris France 1998

ITV Enzi hzo ndio walikuwa wanaturushia matangazo yote ya world cup BURE KBSAA sijui wamekwama wapi wakongwe Hawa

kombe hili sas HV wilaya nzima ya kiteto inaoneshwa sehemu mmoja tu ofc za ccm

Nikaenda simanjiro pia inaoneshwa sehemu moja tu mrangi mmoja ndio anaonesha
Cc ni laana kwa taifa hili
 
Vile nimekaa nasubiri mechi ya Ghana
Tanesco[emoji23][emoji23]
IMG-20221124-WA0002.jpg
 
Ureno hawana mkufunzi, wana muhuni aliyezeeka.

Unapokuwa na kizazi cha wachezaji aina bernardo silva, bruno, vitinha, pedro concalves, rafael leao, joao felix, ruben neves, ronaldo, palhinha, cancelo n.k

Silaha pekee unayohitaji ni muunganiko.
Wameniangusha sana kiuchezaji kwenye michuano ya EURO.

hii timu wangelimpa mourinho au amorim wa sporting lisbon japo kwa mwezi mmoja.
hata uwalete Brazil kwa Belgium wana lala , hawa Belgium watasumbuliwa na timu chache za Ulaya tu , nje ya hapo kombe ana libeba mapema mno
 
Bila Suarez Kujifanya Kipa aka-Punch ule Mpira Ghana ingekuwa inaingia Hatua Nyingine sababu alikuwa last man na ule mpira ungeingia nyavuni ilishakuwa extra Time; Kwahio kwa wa-Africa alikuwa ni Traitor (wa the Beautiful game) ingawa Uruguayans (La Celeste (The Sky Blue)) watasema otherwise.... (alikubali kupewa Red Card ili kuipa Timu yake Chance ya kuendelea..., Binafsi mimi naona Big Cheat alikuwa Gary Lineker aliye-dive kwenye Mechi na Cameroon hence kuwapatia England Penalty...
Umenikumbusha machungu
 
Msijifaliji hii Ghana Ata somalia haiwafungui ngoja tuwape ukweli tu japo mechi ya mwisho kati ya ureno na Ghana mwaka 2014 kweny kombe la Dunia Ghana alikufa mbili moja Ghana ndio timu mbovu kushiriki kombe la Dunia kutoka Africa
 
Back
Top Bottom