Namora
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 410
- 1,014
Cc ni laana kwa taifa hiliItv enzi hzo japan Korea 2002 na Paris France 1998
ITV Enzi hzo ndio walikuwa wanaturushia matangazo yote ya world cup BURE KBSAA sijui wamekwama wapi wakongwe Hawa
kombe hili sas HV wilaya nzima ya kiteto inaoneshwa sehemu mmoja tu ofc za ccm
Nikaenda simanjiro pia inaoneshwa sehemu moja tu mrangi mmoja ndio anaonesha