Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ghana wapo vizuri
Ah hawa kama timu zingine tuu...objective ni kutokufungwa basi na sio kisema kutaka kushinda.

Yaani nashindwa elewa timu una wachezaji wanacheza ulaya alafu unapaki bus ili iweje....bure kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…