Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manyuuuu 🤭Wanavyoishangaa Air CR7😂😂😂😂
Yeah!Kushinda mechi?
Ah hawa kama timu zingine tuu...objective ni kutokufungwa basi na sio kisema kutaka kushinda.Ghana wapo vizuri
Hili inabidi walifanyie kazi kwa kweli.Team zote za Afrika zipo vizuri kwenye mabeki, shida ni viungo na umaliziaji.
Ghana wanaziba sana goli aisee,Ghana mbele wako hovyo kabisa. Angalau defense inajitahidi
Yeye apoteze tu huo muda, mwishoni zotaongezwa 14Mins[emoji1].Mashabiki wa Ghana mwambieni keeper asipoteze muda bado mapema
Wazungu hawatasahau kelele za vuvuzela kule SA, ilibidi waitishe kamati bwana[emoji1].Hawa washabik wa Ghana wanaangaika bure tu kupoteza ngv na ayo matarumbeta kujaza upepo bure tu[emoji23]
Tukapike wengine. Ni mwendo wa vimchicha vya fasta tuHalf time
Mkaoge na mle
Mimi nishaoga na nishakula, au unataka unipe chakula kingine nile?Half time
Mkaoge na mle
Haha nipo kamanda..kipindi cha pili Black eagles atakata roho.
Ushakula? Haya kaoshe vyomboMimi nishaoga na nishakula, au unataka unipe chakula kingine nile?
😂😂😂Ushakula? Haya kaoshe vyombo