Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Rudia kuangaliaAlikanyagwa wapi dada yangu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudia kuangaliaAlikanyagwa wapi dada yangu!
MbwaaaaaaaaaaaaGhana wakirudisha goli niiteni mbwa nimekaa siti ya nyuma
Kuna aliesema tumuite mbwa
Kumbe wanaweza kucheza walikua wanakaa nyuma sana asee.Ghana wanacheza bwanaaaa
Wewe Mbwa koko uliyekuwa kwenye siku zako una hali gani sasa hivi ?Ghana wakirudisha goli niiteni mbwa nimekaa siti ya nyuma
Ndiyoooo kipenziSasa hili ndo goli....sio goli la mchongo lile
Walikua wanajilindaKumbe wanaweza kucheza walikua wanakaa nyuma sana asee.
Weka pichaSijaelewa kwann kocha fernando had a disappointing look cr7 alivoscore ile penalty[emoji848]
Jibwakoko la Mbagala Hilo[emoji23]
Refa amezingua aiseeRefa anajua kabisa kuwa sio penati
amekomaa kuwabeba Ureno
hata wachezaji wa Ghana wanamuomba refa
aende ajilidhishe kwenye VAR ila amekataa!
Aisee