Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kocha ndezi, tactical switch imefanya timu ikakatika kabla hawajakaa sawa.
Nina mashaka na Sub yake..Unawatoa wachezaji wa maana halafu...!

Haya sasa la Tatu..! Afrika bhana
 
Raha ya Mpira magoli[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji2][emoji23]
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Kosa kubwa la kocha WA Chama kufanya sub...ktk moment ile
 
Ghana kaoneka umejichanganya, Ghana kaoneka umdandia mtumbwi wa vibwengo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wareno wachawiiii
Rona alipojiangusha pale aliacha hirizii
 
Timu ipo compact, inakaba vizuri, inatumia nafasi vizuri, impala goli na pressure iko juu unatoa wachezaji bora...what a stupid coach!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ