Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kocha amechemka sana kwenye Sub yake, Ghana ilionekana inaweza lakini huenda ndo wakafungwa mengi
Game plan yake ilikua vzr sana had pale kwny penalty hlf wakasawazisha baada atulie kwnz presha ipoe yy akakimbia kufny sub tena za watu wa maana.
 
Kosa la Ghana ni kufunguka baada ya kujihisi wanaweza, ilifaaa wapaki bus walivyopata lile goal.
Kosa la kocha, hakutakiwa kufanya subs wakati wachezaji wa so emotional baada ya kufunga, walirelax...angesubiri pressure ipungue aangalie matobo yapo wapi ndio afanye subs...kazingua sana kocha.
 
Kbs Yan yy ndo kiherehere chake kimewacost hata Ghana point.
 
Kosa la kocha, hakutakiwa kufanya subs wakati wachezaji wa so emotional baada ya kufunga, walirelax...angesubiri pressure ipungue aangalie matobo yapo wapi ndio afanye subs...kazingua sana kocha.
Na magoli yote yametoka kwa sub ya ayew aliyeingia baada ya kupoteza
 
Back
Top Bottom