vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Wewe kadanganye wajinga
Naangalia tbc kwny king'amuz cha azam. Yn ni hd na inaonyesha vzr sn .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naangalia tbc kwny king'amuz cha azam. Yn ni hd na inaonyesha vzr sn .
mpira huu sasa.😂😂😂Daahhh, nini hii sasa
🤣🤣🤣🤣 hayuko seriousWewe kadanganye wajinga
Game plan yake ilikua vzr sana had pale kwny penalty hlf wakasawazisha baada atulie kwnz presha ipoe yy akakimbia kufny sub tena za watu wa maana.Kocha amechemka sana kwenye Sub yake, Ghana ilionekana inaweza lakini huenda ndo wakafungwa mengi
Kosa la kocha, hakutakiwa kufanya subs wakati wachezaji wa so emotional baada ya kufunga, walirelax...angesubiri pressure ipungue aangalie matobo yapo wapi ndio afanye subs...kazingua sana kocha.Kosa la Ghana ni kufunguka baada ya kujihisi wanaweza, ilifaaa wapaki bus walivyopata lile goal.
Acheni zereu 😆 😆 😆🤣🤣🤣🤣 hayuko serious
Mbona magoli yote mawili yalikuwa na chembechembe za offsideVAR pumbavu sana
Cr7 effect.Huyu mtangazaji vipiiiiii?? Ehheeee mbona kama anaonyesha mahaba ya ureno hivi
Kocha mshenz sn mxiiiiiuuuu zake. Leo katufungishaaa unamtoaje kudus na andreUnamtoaje Kudus wakati ndio alikuwa mchezaji bora kwa Ghana?
Kbs Yan yy ndo kiherehere chake kimewacost hata Ghana point.Kosa la kocha, hakutakiwa kufanya subs wakati wachezaji wa so emotional baada ya kufunga, walirelax...angesubiri pressure ipungue aangalie matobo yapo wapi ndio afanye subs...kazingua sana kocha.
Ni offside kabisa yote mawili.Mbona magoli yote mawili yalikuwa na chembechembe za offside
Na magoli yote yametoka kwa sub ya ayew aliyeingia baada ya kupotezaKosa la kocha, hakutakiwa kufanya subs wakati wachezaji wa so emotional baada ya kufunga, walirelax...angesubiri pressure ipungue aangalie matobo yapo wapi ndio afanye subs...kazingua sana kocha.
[emoji1787]aisee kwel maanaKajua penalty ya mchongo
Itakua sio kwa mbwembwe hiziCr7 effect.