Endelea kua mbwa dadeki zakoNyote mlioniita mbwa nyie ndio mbwaaa....[emoji23][emoji23][emoji23]
Narudi zangu siti ya nje kabisa
For sure sijui lilikimbilia kufanya sub za nini jinga hiloKocha mjinga sn, sub zake zimeua team yetu
Wanarudisha mkuu πNarudi mitimu ya Africa isishiriki kabisa WC
Mikocha ya Afrika hiyo.Sub ya ayew na kudus zinaighalimu timu[emoji34]
Niambie Stray dog wa ghanaMbwa [emoji3]
Kocha amechemka sana kwenye Sub yake kuwatoa Ayew na Kudus..Ghana ilionekana inaweza lakini huenda ndo wakafungwa mengiKosa la Ghana ni kufunguka baada ya kujihisi wanaweza, ilifaaa wapaki bus walivyopata lile goal.
Ana mahaba na ureno, ronaldo bas anawasifia.Huyu mtangazaji vipiiiiii?? Ehheeee mbona kama anaonyesha mahaba ya ureno hivi
Roho kwatuuu CR7 ana goli. Haya sasa narudi africa ghana ee chapeni kaziπππππ