Jamaaa anajuaa....daaaahHalafu wengine wana msikiliza Baraka Mpenja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wamelala yooMatokeo ya mechi ya Ghana yakoje?
Matokeo ya mechi ya Ghana yakoje?
3-2Matokeo ya mechi ya Ghana yakoje?
I'm dead... Depal niache 😀😀😀😀Tall white and handsome 🤪
Hata kama tumepoteza ila strugling uwanjani ilionekanaMatokeo ya mechi ya Ghana yakoje?
kudus ndio alikuwa amewaka alafu unamtoaNilikasirika sana. Kudus ni tegemeo kwa Ajax.. aisee
mbona wajinga tena na mtu akiliwa analiwa hela yake ambayo hakukuomba??Waliowapa ubingwa Brazil ni wajinga[emoji16]
Me mwenzio sijaangalia mechi. Sio sacarsm. Am serious kujua matokeoHata kama tumepoteza ila strugling uwanjani ilionekana
Tofauti na wale makirikiri waliotangulia
Wamejitahidi sana