Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Asante mwayaRonaldo, felix ,leao Portugal Ghana ayew,bukari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mwayaRonaldo, felix ,leao Portugal Ghana ayew,bukari
YeahWanaoangalia Supersport 222 Huyu Anayetangaza ni Peter drury?
Huko mbeleni watakutana wote timu pendwa itafika stage itawwbidi tu wakomae kivyaoTena na Portugal wamebebwa tuta
Pale bench yupo mwenye timu yake. Mchezaji aliyebeba vikombe vingi kuliko mchezaji yoyote tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu. Sio mwingine ni Dan Alves. 39yrs bado anapiga mbungi ya kiwango cha juu kabisa. Class is parmanentBeki za Brazil mababu matupu Thiago Silva,Danilo ,Sandro
Unaangalia mpira ama unacheki vitu vingine!!??Neymar hansham hataree
Hawa wakaka wa world kap kama wameshushwa vileee
Japo hawawafikii wasenegali na mbapee
Kim ukimaanisha Kiduku?South korea akichukua ubingwa....Kim ataachia fataki moja la nyuklia kama shangwe...litakapoangukia tutajua badae
Ingieni 16 bora basi.Ata zile bao offside
Hahaha , eti chai[emoji1]Sasa nkidanganye ili iweje...kama unaona chai potezea
Relax, life is not as hard as u thinkUnaangalia mpira ama unacheki vitu vingine!!??
Hivi eee basi nimechanganya madesa..hivi hao North wapo?Kim ukimaanisha Kiduku?
Kama ni huyo, yule ni North Korea sio South
Ujue nimeshangaa sana mtu kujitia mjuaji kwa ishu simple kama hiyo..mHahaha , eti chai[emoji1]
Sie hatujui mpira unataka nini tunaokotana tuu...kama hivyo unasimia tuu waziri anasema eti twende world cup ya 2030 wanadhani watu wanaibukia tuu huko kwenye mashindano.Wenzetu wanaandaa team na plan za muda mrefu, sisi ni mwendo wa kuokota-okota tu.
Ndio maana huwa sipendi kuangalia mpira na wanawake. Wakati sisi tuko bize kuangalie viungo wanafanya nini pale kwenye midfield, kumbe wenzetu mko bize kuangalia nani anavutia na nani ni mtamu!Neymar hansham hataree
Hawa wakaka wa world kap kama wameshushwa vileee
Japo hawawafikii wasenegali na mbapee
Atakuwa anaangalia kupitia TBCUnaangalia mpira ama unacheki vitu vingine!!??
Life kwangu ni simple tu sina complication but jibu swali ukiweza, ukishidwa pia sio kesi. RelaxRelax, life is not as hard as u think
Take it easy
Kwenye matusi huko mimi huwa siendi, siwezi kujibizana na fukara.Tulia ni spika wa bunge fala ww