Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Hahahahaha haya bwanaNdio maana huwa sipendi kuangalia mpira na wanawake. Wakati sisi tuko bize kuangalie viungo wanafanya nini pale kwenye midfield, kumbe wenzetu mko bize kuangalia nani anavutia na nani ni mtamu!
Sidhani kama huwa mnaishia hapo tu, maana imagination hainaga mipaka. Hebu mkalale msubiri tamthilia zenu dadek!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]