Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Ndio maana huwa sipendi kuangalia mpira na wanawake. Wakati sisi tuko bize kuangalie viungo wanafanya nini pale kwenye midfield, kumbe wenzetu mko bize kuangalia nani anavutia na nani ni mtamu!

Sidhani kama huwa mnaishia hapo tu, maana imagination hainaga mipaka. Hebu mkalale msubiri tamthilia zenu dadek!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahahaha haya bwana
 
Huko mbeleni watakutana wote timu pendwa itafika stage itawwbidi tu wakomae kivyao

Alikuwa ananiboa Ronaldo alivyokuwa ana laani baada ya Ghana kusawazisha
Alinunaaa yani alijawa na hasira sema wenzetu weupe hawakunjagi ndita hivi ni kwanini..au sisi ndita huku kwetu ni madhara ya upepo na jua?😆😆
 
Player ratings HT zinaonyesha neymar ame underperfom kuliko wenzie

Mipira muhimu 18 imepotelea miguun mwake kizembe kwasababu ya kutaka kucheza na jukwaa

Aangalie ushind wa timu kwanza
Screenshot_20221124-224614.jpg
Screenshot_20221124-224819.jpg
 
Ndio maana huwa sipendi kuangalia mpira na wanawake. Wakati sisi tuko bize kuangalie viungo wanafanya nini pale kwenye midfield, kumbe wenzetu mko bize kuangalia nani anavutia na nani ni mtamu!

Sidhani kama huwa mnaishia hapo tu, maana imagination hainaga mipaka. Hebu mkalale msubiri tamthilia zenu dadek!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Demu keshalowana chini kwa kumuangalia Neymer wapuuzi kweli hao watu
 
Back
Top Bottom