Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Brazil wanaruka ruka tu wakati watu tumeweka hela
Brazil kawa kibubu?

Endeleeni kuweka na mtapasuka one day tena kwenye timu hizi hizi ambazo zinapewa asilimia nyingi za ushindi

NB: Sizungumzii Argentina na wazee wa Hijja
 
Sahii kabisa,
Angalia leo South Korea alivowapelekea pumzi ya Moto Uruguay mpk uruguay ndie anaepoteza muda afu mpira unaisha Uruguay anashangilia sare[emoji4]
Urugwayi ni tia maji tia maji na mbambamba nyingi toka washinde world cup ya kwanza hujiona ni gwiji wa soka!
 
Mungu aepushie mbali ikiwa tia maji tia maji basi watoke sare
Mungu hawezi kuwa wakwako peke yako

Mpira upigwe mwenye haki ya kushinda ashinde, hao kina Neymar nao ni kama ustaa umewazidi wameanza kujisahau

Hivi nilikuambia kuwa nami pia nashabikia Brazil?

Miongoni mwa timu zangu, Brazil ipo ila mimi nachotaka ni kuchukua komnlbe

So Brazil kama nawaona wananichelewesha lazima ni switch
 
Unaenda wapi? Maana mi nikiswitch naangukia Argentina nako naona kama hapaeleweki...kwny rada zangu kwa mbali ubelgiji..africa senegal sina matumaini labda ghana.. any way zote zikishindwa kuingia robo fainal ntajua ya kuchagua huko huko.
 
Ee tanesco naomba umeme ukatike kwa wale wote wanaoharibu huu uzi kwa lugha za ajabu...
Umeme ukatike kwao kila mechi inapoanza hadi kombe la dunia liishe
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom