Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Wenzetu wanaandaa team na plan za muda mrefu, sisi ni mwendo wa kuokota-okota tu.
Sie hatujui mpira unataka nini tunaokotana tuu...kama hivyo unasimia tuu waziri anasema eti twende world cup ya 2030 wanadhani watu wanaibukia tuu huko kwenye mashindano.

U17, u20 u 23 timu zote zimeshindwa kufuzu afcon na ata chan tumeshindwa alafu mtu anaongelea kwenda kombe la dunia
 
Neymar hansham hataree
Hawa wakaka wa world kap kama wameshushwa vileee
Japo hawawafikii wasenegali na mbapee
Ndio maana huwa sipendi kuangalia mpira na wanawake. Wakati sisi tuko bize kuangalie viungo wanafanya nini pale kwenye midfield, kumbe wenzetu mko bize kuangalia nani anavutia na nani ni mtamu!


Sidhani kama huwa mnaishia hapo tu, maana imagination hainaga mipaka. Hebu mkalale msubiri tamthilia zenu dadek!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom