vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Argentina atolewe kwasababu gani?Argentina mtoe
France
Brazil
Spain
Tusipende kuchanganya dini na mambo mengine hili pepo lishindwe kwa jina la mwenyezi MunguNdugu zangu waislam katika imani, hatimaye Allah(S.A.W) amesikia kilio cha waja wake wa Mashariki ya kati.
Wote tuseme Takbiiiiiiiiiir
Argentina ipi labda ya pale manzeseWho will win the WC 2022?
Source goal.com
- 69,459 Brazil
- 61,602 Argentina
- 19,582 France
- 68,346 Other
Mashabiki wanakuwa karibu kabisa na pitch, hii imekaa vizuri zaidi.Hivi viwanja vya wenzetu majukwaa ya mashabiki hayako mbali sana na pitch, ukienda pale Lupaso majukwaa yako mbali kweli na pitch[emoji51].
Hivi viwanja vya wenzetu majukwaa ya mashabiki hayako mbali sana na pitch, ukienda pale Lupaso majukwaa yako mbali kweli na pitch[emoji51].
Kuna watu wasio wa imani ya kiislamu na walikuwa upande wa Iran kwasababu ya burudani ya kimpira au kwasababu walikuwa hawaitakii mema Wales, haya mambo uliondika hapa ni ya kijinga, hata kama yanaweza kuwa na maana kwenye imani yako.Ndugu zangu waislam katika imani, hatimaye Allah(S.A.W) amesikia kilio cha waja wake wa Mashariki ya kati.
Wote tuseme Takbiiiiiiiiiir
Maelezo mazuri.Kuna viwanja vya football na multipurpose ambavyo vinajulikana km olympics
Africa vingi ndio hivyo
Viwanja vya football mchezaji hadi mnaweza peana mikono na mashabiki
Huku kwetu goli linafungwa unaanza kuuliza kafunga nani?Mashabiki wanakuwa karibu kabisa na pitch, hii imekaa vizuri zaidi.
Na kibaya zaidi huwa hakuna replay kwa anaeangalia uwanjani moja kwa moja (bongo), labda aangalie kwa simu[emoji1].Huku kwetu goli linafungwa unaanza kuuliza kafunga nani?
Na ukisema uangalie kwa simu bado utakutana na tatizo la mtandaoNa kibaya zaidi huwa hakuna replay kwa anaeangalia uwanjani moja kwa moja (bongo), labda aangalie kwa simu[emoji1].