Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuna viwanja vya football na multipurpose ambavyo vinajulikana km olympics

Africa vingi ndio hivyo

Viwanja vya football mchezaji hadi mnaweza peana mikono na mashabiki
Hivi viwanja vya wenzetu majukwaa ya mashabiki hayako mbali sana na pitch, ukienda pale Lupaso majukwaa yako mbali kweli na pitch[emoji51].
 
Ndugu zangu waislam katika imani, hatimaye Allah(S.A.W) amesikia kilio cha waja wake wa Mashariki ya kati.
Wote tuseme Takbiiiiiiiiiir
Kuna watu wasio wa imani ya kiislamu na walikuwa upande wa Iran kwasababu ya burudani ya kimpira au kwasababu walikuwa hawaitakii mema Wales, haya mambo uliondika hapa ni ya kijinga, hata kama yanaweza kuwa na maana kwenye imani yako.
 
Back
Top Bottom