United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
[emoji23]Hakika walivo hawapendani izi nchi 2 itakua game nzr sana kuangalia.Ayatollah anaweza kuwepo uwanjani [emoji16]
Tatizo viwanja vyetu ni vya matumizi mengi wao ni soka tu, sasa sisi kuna riadha inasababisha mashabiki wanakuwa mbali, angalia Azam complex washabiki wapo karibu na pitchMashabiki wanakuwa karibu kabisa na pitch, hii imekaa vizuri zaidi.
Kavideo mkuuNan alimuona yule player wa iran aliemkaba kocha kwa furaha[emoji1787]
AFiF kapaaisha huyo. Mtoto wa Hassan Afif.
Yanapiga tu nje mpaka mda utaisha[emoji23]Hawa senegal Hawajui kulenga sjui miguu yao au macho vina shida gani ama ndo kupaparika
Ningekutaftia sema bando lenye la AF TATU[emoji28],ingia tu hata youtube utaona hicho kipandeKavideo mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna shabiki kavaa kama mwanamalundi[emoji1787],ka mganga wa kienyej.
Kavideo mkuu