Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Kuna shabiki kavaa kama mwanamalundi[emoji1787],ka mganga wa kienyej.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetoka kucheka
Kama anaagua vile [emoji1787]

Hawa mashabiki wa Senegal wamanichekesha kweli.
Wenzao Qatar hawana mambo mengi,wengi wamevaa Kanzu.

Waafrica tuna hekaheka[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom