Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]et kama anaagua umenchekeshaaa,yani waafrica tuna mbwembwe mno
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]et kama anaagua umenchekeshaaa,yani waafrica tuna mbwembwe mno
Mimi mwenyewe nimemuona
Ameweka sijui mabawa ya kuku Yale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]halafu anaongea maneno utasema zile bongo movie za kuagua[emoji1787]
Hapo wenzetu wamevaa zao kanzu

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hivi viwanja vya wenzetu majukwaa ya mashabiki hayako mbali sana na pitch, ukienda pale Lupaso majukwaa yako mbali kweli na pitch[emoji51].
Hivi vilikuwa special kwa WC, havina sehemu ya Riadha ndio maana majukwaa yapo karibu.

WC ikiisha vingine vitaishia hapo kama kile cha 974 makontena yataondolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…