ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Possible penalty..!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]et kama anaagua umenchekeshaaa,yani waafrica tuna mbwembwe mno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimetoka kucheka
Kama anaagua vile [emoji1787]
Hawa mashabiki wa Senegal wamanichekesha kweli.
Wenzao Qatar hawana mambo mengi,wengi wamevaa Kanzu.
Waafrica tuna hekaheka[emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ila ile ilikiwa ni Penati sijajua sababu ya kupetaNo penalty ila kiukweli hawa sanagal hamna
Tusimame na ghana
Mimi mwenyewe nimemuona[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]et kama anaagua umenchekeshaaa,yani waafrica tuna mbwembwe mno
Ni Tuisila mwenye big afro
Kuna mdau hapo juu kasema Ghana angekua ili kundi angefuzu ni kwl kbs Yan Ghana wanaweza wazr mno.. Yan jana Refa Na Sub ya kocha wao za hrk hrk zile zimewacost point hata 1.No penalty ila kiukweli hawa sanagal hamna
Tusimame na ghana
Hivi vilikuwa special kwa WC, havina sehemu ya Riadha ndio maana majukwaa yapo karibu.Hivi viwanja vya wenzetu majukwaa ya mashabiki hayako mbali sana na pitch, ukienda pale Lupaso majukwaa yako mbali kweli na pitch[emoji51].
Walivyoirudia anaonekana kabisa kajitegesha.Ila ile ilikiwa ni Penati sijajua sababu ya kupeta
Hata bila zile sub ,bado kundi walilopangwa ni gumu.Kuna mdau hapo juu kasema Ghana angekua ili kundi angefuzu ni kwl kbs Yan Ghana wanaweza wazr mno.. Yan jana Refa Na Sub ya kocha wao za hrk hrk zile zimewacost point hata 1.