Kwa mpr huu Senegal hawez mfunga Ecuador waweke tu mabegi yao stand by.Hawezi kumfunga, labda akapaki bus kutafuta draw.
Mbovu mno.Hata Senegal wakishinda hii ni timu mbovu
Inamaana mwanzo nyie hamkulijua hili mapema?Mbovu mno.
Mi hata wasingeniambia kuwa huyu ni mtanzania, kupitia tu aina hii ya uchezaji ningeweza kuunganisha dotWatu wanaposema afif mchezaji mzuri wanakosea wasema mchezaji wa kawaida
Hizi back pass hizi ndio zinampq ubora?
Uraia hauwezi kubadilishwa. Uraia ni wa kuzaliwa.Kubadilisha uraia kwasababu ya fedha ni uhanithi wa hali ya juu
Hawa kina
Pedro sijui muntari wafukuzwe katar wajurudie kwao
Hawa watangazaji TBC wamewatoa wap mbona hawana lafudhi za kibongo
Na kiswahili kama wakenya na kiarabu kingi
Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
Mi nilivyowaona wakishangilia goli mbili walizopata dhidi ya 6 walizofungwa nikajisemea tu kuwa hapa hamna timuHata Senegal wakishinda hii ni timu mbovu
Hawana mbinu hawaKipindi cha pili kama nauona moto frm qatar,senegal wasivimbe sana
Mi hata wasingeniambia kuwa huyu ni mtanzania, kupitia tu aina hii ya uchezaji ningeweza kuunganisha dot
Asili huwa haijifichi
Una maana goal.com wawatoe, hizo ni survey inafanywa kwa mashabiki wa mpira kupitia goal.com Spain iko kwenye OthersArgentina mtoe
France
Brazil
Spain