Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Tutafute la tatu halafu tulinde ushindi, then dua za njaa zielekee kwa Ecuador
 
cisse.gif
 
Lengo la katar ilikuwa kutangaza maadili ya mashariki ya Kati/uarabuni wala mpira sio target yao

Ndio maana wameshika kuwekeza kwenye vilabu vikubwa lengo nyuma ya pazia ni kuuza maadili yao duniani

Hapo nyuma walikuwa wanatumia nguvu kukubalika wameona dunia imebadilika wakaja na mpango wa kuwekeza kwenye michezo inayofuatiliwa na wengi
Hawa Qatar bora wawekeze kwenye ndege... Kwenye mpira hamna kitu..
 
Back
Top Bottom