vibesen xxx
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 3,187
- 6,620
Kipindi cha pili kama nauona moto frm qatar,senegal wasivimbe sana
Pretty as hellHuyu dada wa DStv
Uraia hauwezi kubadilishwa. Uraia ni wa kuzaliwa.
Pretty as hell
Si anajua mi namuangalia ndo maana anafanya kusudiAlivyo na makusudi anaachia tabasamu lote lengo lake sijui nini
Kwani Kalpana anasemajeWazee wa Tibisi are you enjoying footbal the same with us?View attachment 2427288
Si anajua mi namuangalia ndo maana anafanya kusudi
Nyoo
Wanakera sana na kujifanya waarabu wakati hii tv ni ya kiswahiliHawa watangazaji wa TBC muda wote wanaongelea msosi... Itakua hawajapata lunch...