Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Owen pia anasifika kwa kuongea Pumba....

1. “If there’s a bit of rain about, it makes the surface wet.”

2. “What a feeling it is to be a manager and bring someone on.”

3. “Footballers these days often have to use their feet.”

4. “I love these players with two feet.”

5. “Blackburn have got two strikers on and they’re both playing up front.”

6. “Whichever team scores more goals usually wins.”

7. “When they don’t score they hardly ever win.”

9. “It’s a good run, but it’s a poor run, if you know what I mean?”

10. “That’s simple as…simple.”

11. “Alderweireld played really well last year for Tottenham, let’s hope he can transfer that form to Spurs this season.”

12. “To stay in the game, you have to stay in the game.”

13. “You have to believe your own eyes, don’t you?”
 
Nini hiki?
 
Sis tumezungumzia slang yake ni tofauti na hawa wengine wew unazungumzia vitu anavyozungumza huoni akiongea Micheal Owen na okocha Kuna utofauti mkubwa sana wa lafudhi Yao
 
Sis tumezungumzia slang yake ni tofauti na hawa wengine wew unazungumzia vitu anavyozungumza huoni akiongea Micheal Owen na okocha Kuna utofauti mkubwa sana wa lafudhi Yao
Kuhusu lafudhi nimekujibu Owen ni Scouser mtu wa Liverpool na Owen, Gerald , Rooney, Gallagher wote wanaongea hivyo..., ila nikaongezea kuhusu pia sifa ya Owen.... kwani kuna ubaya hapo..., na Hii lafudhi wenyewe huko wanaicheka kama baadhi wanavyowacheka wasukuma na Kiswahili....
 
unaelewa ili uingie sky sport lazima uwe training haijalishi ulikua mchezaji au hujawahi kuwa mchezaji wew una akili kuliko sky sport
 
unaelewa ili uingie sky sport lazima uwe training haijalishi ulikua mchezaji au hujawahi kuwa mchezaji wew una akili kuliko sky sport
Duh !!!!!

Michael Owen ni mmoja kati ya thought After English Footballers na katika watu waliowai kupendwa na ku-bust kwenye scene katika young age ni Michael hata zaidi ya Wayne Rooney..,(katika Kupendwa) na lile goli alilowafunga Argentina akiwa na miaka 18 lilimpa status kubwa sana (hakuna watu Waingereza wanapenda kuwafunga kama Argentina au Wajerumani; Ingawa Scotland pia huwa ni derby lakini uwezo wao mdogo)

Sasa Owen angekuwa mchambuzi mzuri bila kuchapia huenda angepewa kazi popote pale hata ile kazi ya Lineker ila ndio hivyo Owen ana tabia ya Kuchapia kama vile ilivyo Kevin Keegan... Michael is loved by many; kwahio Sky kumweka pale sio sababu ya uchambuzi wake bali ujuzi wake katika game na kupendwa na Wananchi...
 
Humo ndani watu si wamelamba perdiem za hatariiii
Nasemea hawa wanaokusanya virago baada ya wimbo wa Taifa ili uwanja ubaki plain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…