Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Senegal wakitaka kupita hili kundi washinde kwa tofauti ya goli tatu dhidi ya qatar ,ili mechi ijayo na ecuador atafute sare ili asonge mbele

Kwa maana ecuador hawezi kumfunga holland hata siku moja.
Kwa sasa tuombe Ecuador apigwe 3 bila na Uholanzi baada ya hapo tuje tumkazie tutoe droo
 
Simba wa teranga wamebakiza mechi na kina ener Valencia wa Ecuador!
20221125_180507.jpg
 
Back
Top Bottom