Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Nadhani sasa inatosha matokeo yawe hivi hivi 3-1 sisi Waarabu wa Qatar hatuna kosa lolote kuandaa michuano hii.

Mabao mengi yatakiwa kupigwa Ureno kwa kupewa penalty ya magumashi dhidi ya Ghana.
 
Mpira haupo hivyo otherwise wewe ni wale watu wajinga wa Simba na yanga
Senegal wakitaka kupita hili kundi washinde kwa tofauti ya goli tatu dhidi ya qatar ,ili mechi ijayo na ecuador atafute sare ili asonge mbele

Kwa maana ecuador hawezi kumfunga holland hata siku moja.
 
Neymar Jr atakosa mechi zilizobaki za hatua ya makundi vs Cameroon na Uswisi. Pigo kidogo kwa wacheza samba, ila fursa sasa kwa Antony.
20221125_175911.jpg
 
Back
Top Bottom