[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asubiri kombe la dunia liisheTuma fasta then uendelee na boli. Maisha lazima yaendelee[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwambie akanyoe kipara
Argentina safari yake imeisha endeleeni kuota sasaNatamani mno Argentina na Morocco/Saudia Arabia wakutane fainali, mmoja wao achukue ndoo.
[emoji16][emoji16][emoji16]Yaani watu tupo busy na kombe la dunia mtu anakuomba hela ya kusuka [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Mendez amesweat hadi basi
Argentina safari yake imeisha endeleeni kuota sasa