lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 17,951
- 23,705
Neatherlands akishinda leo au kutoa droo, Qatar watakuwa wameondolewa kwenye mashindano ya WC na kuweka historia ya timu mwenyeji kutolewa kwenye mechi ya pili tu
Afrika ya Kusini walitolewa mashindanoni kwenye mechi ya mwisho kwenye mashindano ya WC 2010.
Afrika ya Kusini walitolewa mashindanoni kwenye mechi ya mwisho kwenye mashindano ya WC 2010.