Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,040
- 2,806
Eti offside....kweli rangi nyeusi ni nyeusi tuGoal lina shida gani lile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti offside....kweli rangi nyeusi ni nyeusi tuGoal lina shida gani lile
Wamezawazisha lkn offside.
Mchezaj alisimama kwny usawa wa kuona wa goalkeeper.
offsideOffside au niaje sielew
Khaaa 🙌Eti offside....kweli rangi nyeusi ni nyeusi tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah unasagia kungun sana,ye kauliza tu ni team ganOrange ni hao uholanzi makaburu Dutch wana roho mbaya hao ukipata demu wa kiholanzi mpakie mcongo wana roho mbaya sana hao
Kweli Senegal atoleweEcuador tunaonewa Ila hasira zetu tutamalizia kwa Senegal
Yes ni offside kbs wanabisha tu lkn yule mchezaj wa Ecuador alikua anamziba kipa na alikua kwny eneo la kuotea.Yes clear offside
Mchezaji wa mwisho wa ecu ameingilia mchezo kwa kutikisika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ecuador tunaonewa Ila hasira zetu tutamalizia kwa Senegal
Aliefunga hakuwa offsideGoal lina shida gani lile
Eti offside....kweli rangi nyeusi ni nyeusi tu
OhhAliefunga hakuwa offside
Ila kuna mchezaji namba 25 (Porozo) alikua offside na alikua mbele ya kipa anamziba eyesight
Ndomana goal limekataliwa
Hapo sawa nami nmeelewaAliefunga hakuwa offside
Ila kuna mchezaji namba 25 (Porozo) alikua offside na alikua mbele ya kipa anamziba eyesight
Ndomana goal limekataliwa
Kabisa haiwezikani ukawakatalia goli tamu kama lile ngozi nyeupe, watakufungia mara 1 kutojihusisha na uchezeshaji wa kombe la dunia mwanzo na mwishoEti offside....kweli rangi nyeusi ni nyeusi tu
Nawewe PISI KALI umeridhia kabisa kuwa ilikuwa ni offside, mbona jana VAR zilikuwa likizo?Naona hapa .. ChickMagnet View attachment 2427430
Huyo mtu aliye karibu na kipa maybe,, ila suala la offside sinaga elimu ya kutoshaNawewe PISI KALI umeridhia kabisa kuwa ilikuwa ni offside?
Naam ..Naona hapa .. ChickMagnet View attachment 2427430