Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Mexico ashinde tu viva MexicanaView attachment 2427452
Game za kesho,
Argentina vs Mexico itakua hatari plus Saudi Arabia vs Poland
Yes, tena droo ndio iko directHata wakitoa draw, Qatar out
Naona kama waDutch zaid watafurahia Draw wamekimbizwa sanaKwahiyo hii game inataka kuisha kwa draw?
I second you....Mexico ninyooshee watuMexico ashinde tu viva Mexicana
El CHAPO VS CHE GUEVARA [emoji91][emoji91]
Africa watoke tu ili ushabiki wa kinafki uuishe tuwachek real champs sasa. Mana kiukwel hatufiki popote ni kubuy buy time tuWatoke tu maana hawajielewi
Ai technologyJana kwenye VAR hapakuwa na umeme
Hivi safar hii hawapo eehBora Italy wangeingia kombe la dunia hawa uholanzi jau tu
Kila mchezaji ana device kavaa na mpira una kifaa ndani yakeNimesoma sehemu kuwa kwenye haya mashindano wameanza kutumia technolojia ya AI kwenye offside kama inavyotumika kwenye Goal recognition. Technolojia hii ina software maalumu inayoweza kutambua mwili wa mchezaji na kulinganisha na miili ya oponents na kuamua kuwa mchezaji yuko onside au offside. Ndio maana kwenye offside sasa hivi VAR haitumiki
So hata jana AI ndio ilitumika kwa yale magoli ya Portugal thidi ya Ghana
Atafuzu kimaskharaAfrica watoke tu ili ushabiki wa kinafki uuishe tuwachek real champs sasa. Mana kiukwel hatufiki popote ni kubuy buy time tu
Kumbe ndo maana,hii ni kwasaab ya WC tu ama wataendelea hv hv. Sjui nan kaanza kuwafundsha uchoyoDstv now inatambua device moja tu. Ya pili inagoma
Huko shule ulisomea ujinga?Senegal aombe hii mechi iishe draw
Uholanz atakua na point 4
Ecuador point 4
Yeye atadrawal na ecuador atakuwa na point 4 vile vile
Uholanz lazima atampiga quatar
Atakuwa na point 7
Senegal atafuzu kwa wivu
Huku ecuador na uholanzi watafuzu kuendelea na hatua inayofuata
Wauza drones sijawahi waaminia kabisa, wanacheza mpira wakiwa na sles kichwaniIran vs US lini jaman hii mechi siyo ya kukosa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]