Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Senegal aombe hii mechi iishe draw

Uholanz atakua na point 4
Ecuador point 4

Yeye atadrawal na ecuador atakuwa na point 4 vile vile

Uholanz lazima atampiga quatar
Atakuwa na point 7


Senegal atafuzu kwa wivu

Huku ecuador na uholanzi watafuzu kuendelea na hatua inayofuata
 
Nimesoma sehemu kuwa kwenye haya mashindano wameanza kutumia technolojia ya AI kwenye offside kama inavyotumika kwenye Goal recognition. Technolojia hii ina software maalumu inayoweza kutambua mwili wa mchezaji na kulinganisha na miili ya oponents na kuamua kuwa mchezaji yuko onside au offside. Ndio maana kwenye offside sasa hivi VAR haitumiki
So hata jana AI ndio ilitumika kwa yale magoli ya Portugal thidi ya Ghana
Kila mchezaji ana device kavaa na mpira una kifaa ndani yake
 
Senegal aombe hii mechi iishe draw

Uholanz atakua na point 4
Ecuador point 4

Yeye atadrawal na ecuador atakuwa na point 4 vile vile

Uholanz lazima atampiga quatar
Atakuwa na point 7


Senegal atafuzu kwa wivu

Huku ecuador na uholanzi watafuzu kuendelea na hatua inayofuata
Huko shule ulisomea ujinga?
 
Back
Top Bottom