Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Na ghana mzee umesahau 2010 Gyan akatulaza na viatu kwenye tuta
The Hand of God now belongs to me," Luis Suarez declared after Uruguay's quarter-final win over Senegal in 2010. "I made the best save of the tournament."
 
Mimi hata kama sitaangalia kombe la dunia nikienda YouTube kuwaangalia hawa miamba Tu itoshe kusema nimemaliza mechi zote
Your browser is not able to display this video.
 
Kwani hakuna link ya hizi mechi kwa wale wazee wa simu
 
Reactions: Lee
TBC wanajisifiasifia tu hapa wakati watu wako Qatar kwenye opening ceremony, michannel mingine bwana jau kichizi.
 
Reactions: Lee
Team πŸ‡­πŸ‡·
Team Belgium πŸ‡§πŸ‡ͺ
Team Senagal
Team Brazil πŸ‡§πŸ‡·
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…