Atafungika tu wala hana maajabu sana ya kutisha, cha msingi wawe na mipango mizuri sio wanajikanyaga kanyaga tu kwenye box la mpinzaniKimbembe kumfunga Ecuador. Natamani ila naona kama ndoto.
Na ukumbuke moja lilifutwaYaani Uholanzi imepata 2 shots, ambapo 1 shot ndio imezaa goli ndani ya mchezo mzima huu...
Sijaangalia ball kwenye Luninga, mlioangalia hawa Uholanzi wamepakatwa sana?
Kabisa mkuuSema angekuwepo Keita Balde na Mane pale mbele aah Ecuador angekaa na hata siku ile Uholanzi angefungwa.
Tukutane siku ya mechi Iran hatuwezi kufungwa na wakina rihana sijui Kim Kardashian haoSasa kumbe rekodi ya mwisho ni 94
Hiyo ndio ilikuwa ni miaka ya mwishoni mwishoni kwa vibonde wote kupata mazari
Fatilia vizuri utagundua hadi Yanga katikati ya miaka hiyo walienda group stage ya Club bingwa
Madogo ni wazuri tena sanaaa uholanzi uzoefu tu ndio umembeba ila Senegal wajiandaee tuYaani Uholanzi imepata 2 shots, ambapo 1 shot ndio imezaa goli ndani ya mchezo mzima huu...
Sijaangalia ball kwenye Luninga, mlioangalia hawa Uholanzi wamepakatwa sana?
Mnamu underrate sana SenegalSasa ili Senegal isonge mbele inabidi imfunge Ecuador, je itawezekana? tusubiri vituko vya ngamia kupenya kwenye tundu la Sindano
Nadhan washaona leo ecuador walivo wa motrooo,so na wao watajipanga fresh tu huenda wakapindua meza wacha tuone.Sasa ili Senegal isonge mbele inabidi imfunge Ecuador, je itawezekana? tusubiri vituko vya ngamia kupenya kwenye tundu la Sindano
Utofauti wa magoliMpira umeishaaa
Kifuatacho??
The same hereYaani Uholanzi imepata 2 shots, ambapo 1 shot ndio imezaa goli ndani ya mchezo mzima huu...
Sijaangalia ball kwenye Luninga, mlioangalia hawa Uholanzi wamepakatwa sana?
Hapana, Mungu ni mwemaUtofauti wa magoli
Ecuador 3 - 1 = 2
Senegali 3 - 3 = 0
Ili Senegal afuzu lazima ( siyo hiari) lazima amfunge ecuador
Namuonal Senegal akiungana na qatar kupisha mashindano
Muafrica ni muafrica tena hao senegal wanaweza hata kujifunga siku hiyoHapana, Mungu ni mwema
Watatoboa
Ngoja tuone.. ila nawaombea waendelee kusonga
Senegal huwa ni papatu papatu sana World Cup, siku zote mechi nyepesi za kawaida anavuruga halafu anakuja kuwa judged na goals difference, head to head, cards za njano na nyekundu blah blahUtofauti wa magoli
Ecuador 3 - 1 = 2
Senegali 3 - 3 = 0
Ili Senegal afuzu lazima ( siyo hiari) lazima amfunge ecuador
Namuonal Senegal akiungana na qatar kupisha mashindano