Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Sasa kumbe rekodi ya mwisho ni 94

Hiyo ndio ilikuwa ni miaka ya mwishoni mwishoni kwa vibonde wote kupata mazari

Fatilia vizuri utagundua hadi Yanga katikati ya miaka hiyo walienda group stage ya Club bingwa
Tukutane siku ya mechi Iran hatuwezi kufungwa na wakina rihana sijui Kim Kardashian hao
20221125_205342.jpg
 
Utofauti wa magoli

Ecuador 3 - 1 = 2
Senegali 3 - 3 = 0

Ili Senegal afuzu lazima ( siyo hiari) lazima amfunge ecuador

Namuonal Senegal akiungana na qatar kupisha mashindano
Senegal huwa ni papatu papatu sana World Cup, siku zote mechi nyepesi za kawaida anavuruga halafu anakuja kuwa judged na goals difference, head to head, cards za njano na nyekundu blah blah

Sent from my LM-Q730 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom