Umeona sasa?Tukutane siku ya mechi Iran hatuwezi kufungwa na wakina rihana sijui Kim Kardashian hao View attachment 2427461
Do or Die matchGroup A mpaka safi sana maana mechi za mwisho still zitakuwa tamu. Hasa Senegal vs Ecuador si ya kukosa.
Hata angekuwa na GD 1000 ili Senegal afuzu lazima ashinde.Utofauti wa magoli
Ecuador 3 - 1 = 2
Senegali 3 - 3 = 0
Ili Senegal afuzu lazima ( siyo hiari) lazima amfunge ecuador
Namuonal Senegal akiungana na qatar kupisha mashindano
Ila Ecuador naye anaomba hivyo hivyoHapana, Mungu ni mwema
Watatoboa
Ngoja tuone.. ila nawaombea waendelee kusonga
Mambo ya utopolo achana nayo aisee hata kwa VIWANGO Iran yupo juu ya USUmeona sasa?
Ingia google tafuta rekodi ya Yanga mara ya mwisho kuingia group stage club bingwa ilikuwa mwaka gani
Huo ni mwaka wa mazali, vibonde wengi walineemeka
We tulia tuMnamu underrate sana Senegal
Usa hachomokiKikosi cha Leo dhidi ya USA:
.Jordan Pickford
.Kieran Trippier
.Luke Shaw
.John Stones
.Harry Maguire
.Declan Rice
.Jude Bellingham
.Bukayo Saka
.Mason Mount
.Raheem Sterling
.Harry Kane
Three Lions
Mount wangu 😍Kikosi cha Leo dhidi ya USA:
.Jordan Pickford
.Kieran Trippier
.Luke Shaw
.John Stones
.Harry Maguire
.Declan Rice
.Jude Bellingham
.Bukayo Saka
.Mason Mount
.Raheem Sterling
.Harry Kane
Three Lions
UK Mfunge US unipe nafasi Iran nitafute drooo tu dhidi ya USTunasubiri kuona magoli mengi sana usiku wa leo..
Sisi ni wazee wa tatu kwenda mbele.
Ajitokeze mtu ajidai anajikuna kuwa leo hatushindi, nimshikishe adabu.
Hii game ya USA vs England, haina mvuto.Ngoja nilale tu
Me nishaanza kusinzia 🤣😹Hii game ya USA vs England, haina mvuto.Ngoja nilale tu
AISEEEEEImagine nje unaye:
Phil Foden
Jack Grealish
Marcus Rashford
Jordan Henderson
Erick Dier
Marekani mtatusamehe. Kombe hili pekee ndiyo faraja yetu baada ya kumpoteza malikia
Majina yasikutishe uingereza mtusamehe sisi ni super power bhanaImagine nje unaye:
Phil Foden
Jack Grealish
Marcus Rashford
Jordan Henderson
Erick Dier
Marekani mtatusamehe. Kombe hili pekee ndiyo faraja yetu baada ya kumpoteza malikia
Sisi ni England.. UK utamhusisha na Wales ambaye leo kachabangwa na Iran, utamhusisha na Scotland aliyekosa nafasi.UK Mfunge US unipe nafasi Iran nitafute drooo tu dhidi ya US
Hapana, nina wasiwasi VAR ni special kuwanufaisha wazungu tu na kunyanyapaa ngozi nyeusi tu.Muafrica ni muafrica tena hao senegal wanaweza hata kujifunga siku hiyo
Chezea uafrica wewe
Ohooo!.Majina yasikutishe uingereza mtusamehe sisi ni super power bhana