Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

Mechi hii itaamuliwa na Referee, Jesus Valenzuela kutoka nchini Venezuela.

Jina la Referee tu ni Jesus, nasi tutawabatiza kwa maji ya moto Marekani.
 
Mara ya mwisho kukutana ni mwaka 2018.

Marekani alilazwa Magoli matatu kwa nunge.
 
Naam, mpira unaanza hapa katika uwanja wa Al Bayt. Ni vifijo na nderemo.
 
Back
Top Bottom